
Msanii wa kike kutoka Bongo Nay Lee na yeye ametoa remix ya wimbo wa Sophia ambao Original yake ulifanywa na Ben Pol.
Kiukweli wimbo huu haujawavutia mashabiki wa mziki tu
kwani hata wasanii pia wamevutiwa na wimbo huu na mpaka sasa
umeshafanyiwa remix tatu.
Bonyeza hapo chini kuusikiliza wimbo huu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment