
Caitlyn Jenner
ambaye kabla ya kujibadili jinsia na kuwa mwanamke kamili kwa kila kitu
alikuwa anajulikana kwa jina la Bruce Jenner ambaye ni baba wa kambo wa
Kim Kardashian, ameingia kwenye rekodi ya dunia kwa kupata followers
zaidi ya million moja ndani ya saa 4 tu.
Hali ipo hivyo na yawezekana ni mwanzo mzuri kibiashara katika uamuzi aliouchukua lakini si jambo la kushabikia hasa kwa tamaduni zetu za kiafrika tuwaache wafanye yanayowahusu nasi tufanye yanayotuhusu.
Caitlyn Jenner akiwa kwenye gari ni moja ya picha zake zinazosumbua kwenye mitandao kibao duniani.
0 comments :
Post a Comment