Akaunti ya Instagram ya muongozaji wa video, Nisher imefungwa baada ya
kuwa ‘hacked’ na watu wasiojulikana Baada ya watu hao wanaojiita
'fakewatchbusta' kuhack akaunti yake walipost picha yake akiwa amevaa
saa za thamani na kuweka maandishi yenye rangi nyekundu
Wakaanza
kubadilisha usernames na kupost picha chafu so mi nilichofanya ikabidi
nitoe report Instagram kuwa nimekuwa hacked wakaifunga.”
Hata hivyo Nisher amesema saa zake zote ni halisi.
Zote ni real,” amesema Nisher.
Japo
kwa mara nyingine imebidi nimpigie agent wangu nimuulize kuwa inakuaje
naambiwa hii saa ni feki! Yeye mwenyewe ameshangaa sana so anacheki na
duka aliponunulia huko UK,” ameongeza.
Kitaeleweka
tu. Japo sishangai chochote maana kama wameweza kumwita Rick Ross na
Floyd Mayweather FAKE na wao ni Multi-Millionaires, sembuse mimi
wakuzikusanya kwa msimu.”
Simu halisi za Nisher zikiwa kwenye boksi yake
Kuhusu bei ya saa zake hizo, Nisher ameiambia kuwa hawezi kuitaja kwa sababu za kiusalama.
“Siwezi
kutaja hewani but receipts zipo so kama mtu anataka kujua how much I
bought it karibu home s crazy! Nashindwa kutaja kwasababu ya security
reasons, sio kwaajili ya hofu.”
Hata hivyo Nisher anahisi kuna watu wengi wanaomchukia hasa wanaume wenzake.
Nimejifunza
kuwa naonewa wivu sana na wanaume wenzangu,” amesema muongozaji huyo.
Sijui kwanini, sababu aliyenitag kwenye hiyo site ni mtangazaji wa radio
na TV, simtaji jina cuz not even worth it! Ila team yangu imeshamfuma
na alipoona account yangu inashambuliwa aliwatag wenzake na kuwaambia
So message kwake nampa pole kwa kusosa kazi za kufanya.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment