Alicho kifanya Diamond Platnumz mara baada ya mtoto huyo kuzaliwa ameamua kumfungulia Acount ya Instagram leo na kuandika maneno haya “My mom’s face it’s enough to Express how i feell


Pia hiki ndicho alikipost Babu Tale baada ya Zarinah Hassan kujifungua.
0 comments :
Post a Comment