News
Loading...

KUMBE KAZI HII NDIYO IMEMLIPA YOUNG KILLER HADI KANUNUA GARI?


Young Killer amesema muziki umeweza kumlipa vya kutosha kiasi cha kufanya mambo mengi, 
ikiwa ni pamoja na kununua gari lake la kutembelea. Young Killer ameimbia amesema kuwa amenunua gari hiyo ili iweze kumsaidia katika shughuli
 zake za kimuziki akiwa ndani ya Dar es Salaam.
Japo sio kikubwa lakini nimenunua kagari, si jipya linanisaidia sana, ni gari la kawaida tu used 
na nimenunuA kwa mshikaji wangu, si unajua ndo mwanzo; amesema rapper huyo.
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment