News
Loading...

NEW AUDIO: RICH ONE FT NATURE & INSPECTOR HAROON ~ UKIONA

Msanii Richard Shauri aka Rich One ambaye baada ya kutoka kundi la Wanaume halisi lililokuwa linaongozwa na Juma nature na kuamua kufanya mziki kama Solo artist lakini alikaa kimya kwa muda bila ya kutoa ngoma mpya, Amekuja upya kwa kuachia wimbo wake mpya 'Ukiona' aliowashirikisha Juma Nature na Inspector Horoon.

              Bonyeza hapa chini kuusikiliza wimbo huu:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment