News
Loading...

NIKKI WA PILI ATAJA SIKU WATAKAYOICHIA NYIMBO YA WEUSI

Kundi la Weusi ni moja kati ya kundi ambalo limepata mafanikio makubwa kwenye industry ya Bongo fleva na kufanikiwa kufanya show kibao hapa Tzee na kupiga show nje ya Tzee.

Kundi hilo kwa sasa linajipanga kuachia nyimbo yao mpya baada ya kukaa kimya tangu mwaka umeanza bila ya kutoa nyimbo yoyote ya kundi huku kila mmoja aki-base zaidi kutengeneza nyimbo zake.


Bonyeza hapa chini kusikiliza sauti ya Nikki wa Pili:

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment