News
Loading...

JAY DEE AUFUNGA MGAHAWA WAKE........INGIA HAPA KUJUA SABABU ZA KUUFUNGA

Malkia wa Bongo fleva Lady Jaydee aka Comando, Anaconda ametangaza rasmi kuufunga mgahawa wake wa MOG & Restaurant zamani ukijulikana kama Nyumbani Lounge. Jay Dee amepost maneno hayo kwenye mtandao wake wa Instagram kuwa ataufunga mgahawa huo mwishoni mwa mwezi May ila baada ya miezi mitatu mashabiki wake watarajie mambo makubwa zaidi kutoka kwake.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment