News
Loading...

BAADA YA KUSUBIRIWA KWA MUDA MREFU RUBY AMEACHIA VIDEO YAKE YA YULE......ITAZAME HAPA

Ni single ambayo ilizaliwa wakati tukielekea kwenye mbio za Valentine mwaka 2015,uzito wa maneno yaliyomo kwenye wimbo huu umeufanya kuendelea kushika nafasi za juu kwenye chart mbalimbali za radio Tanzania.

Mei 15 kaamua kuipa heshima kwa kuachia video yake ambayo imeongozwa na Director kutoka Kenya anaitwa Kelvin Bosco JNR ambaye tayari amefanya video kadhaa za mastaa wa Tanzania  ikiwemo Akadumba ya Ney wa Mitego,Asante ya AY,Mfalme ya Mwana Fa  na zingine kibao.


Huyu anaitwa Ruby msichana ambaye alizaliwa kupitia mashindano ya Serengeti Super Nyota Diva 2014,hii ni video ya single yake mpya Na yule,itazame hapa mtu wangu.
 
Bonyeza hapa chini kuangalia video hii
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment