News
Loading...

OFFICIAL VIDEO | MAUA SAMA FEATURING BEN POL ~ THIS LOVE

Maua Sama ni mmoja kati ya wasanii wa kike wa hapa bongo wenye kipaji kikubwa cha kuimba na sauti nzuri aliyobarikiwa. 
Baada ya kukaa kimmya kwa kipindi kirefu na kuachia baadhi ya nyimbo na kushindwa kufanya vizuri kama wimbo uliomtambulisha 'So Crazy 'sasa ameachia video ya wimbo wake wa 'This Love' aliomshirikisha Ben Pol.
                                         
                         
                          Bonyeza hapa chini kuangalia video hii

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment