News
Loading...

UNITED YAZIPIKU MADRID, BARCA NA BURYEN KWA BRAND VALUE

 Licha ya kuchukua ubingwa wa UEFA lakini bado thamani ya brand yake sio kubwa zaidi ya club tano juu yake. Barcelona imechukua UEFA lakini kwenye list ya biggest brands in football.

Kwa mara ya kwanza Manchester united imevunja rekodi kwa kufikisha brand value ya zaidi ya $1 billion na kuziacha brand nyingine zaidi ya dola millioni 300.

Namba mbili inakamatwa na wakali wa Bundasliga Bayern Munich kwa kuwa na thamani ya dola millioni 933 ambapo mwaka jana ilikua ni namba moja. Namba mbili imeenda kwa Real Madrid kwa kuwa na thamani ya dola millioni 873.

Vitu vya kuzingatia ni kwamba kwenye top 10 kuna brand 6 kutoka EPL ambazo ni Manchester united, Manchester city,Chelsea,Arsenal,Liverpool na Tottenham.

Licha ya Juventus kucheza fainali ya UEFA lakini kwene brand value hata top 10 haipo kwasababu imeshika namba 11.


Hii ndiyo list kamil:

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment