News
Loading...

HAWA NDIO WACHEZAJI WA SIMBA AMBAO MSIMU UJAO HAWATAKUWEPO KWENYE KIKOSI HICHO

Msimu umeisha wachezaji mbalimbali kutoka kwenye timu tofauti duniani wanahama kutoka kwenye timu moja hadi nyingine.

Huko Ulaya mambo ni yamoto kwa upande wa kijana Pogba na hapa bongo hii ndio habari mpya. Hawa ni wachezaji wawili wa Simba ambao wametoa taarifa kwenye page zao za social mediak kwamba hawatakuwa tena na Simba msimu ujao.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment