News
Loading...

UKAWA WAFANYIWA MBAYA NA MANISPAA YA ILALA

Manispaa ya Ilala imemzuia mgombea  Urais wa UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi ya 29 Agosti, 2015.
Msemaji wa UKAWA ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Manispaa ya Ilala imewagomea kufanya uzinduzi wa kampeni zao kwenye viwanja hivyovya Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo.
Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi za kuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo ili wazungumze naye lakini halibado ilikuwa ngumu hawajaweza kutajiwa mtu huyo aliyelipia.
Mbatia anasema viongozi wengine wa UKAWA wanashughulikia suala hilo ikiwa pamoja na kumtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Damian Lubuva kuingilia kati.
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment