News
Loading...

NEW: YOUNG D FT. BEN POL – ‘DO IT’ (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Kutokana na mchakato wa uchaguzi mkuu unaotegemea kufanyika October 25, 2015 hapa nchini Tanzania Msanii wa muziki wa hip hop hapa Tz Maarufu kwa jina la Young D ameamua kuachia video ya wimbo ambao unaitwa ‘Do It’ aliomshirikisha Ben Pol. Wimbo huo umebeba ujembe wa kuhamasisha watu kupiga kura kwa amani ifikapo siku hiyo ya uchaguzi na kumchagua kiongozi sahihi anayefaa kwa kuleta maendeleo. 
Bonyeza hapa chini kutazma video hii:

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment