News
Loading...

YAYA TOURE AWASHTUA WAKENYA KWA UJUMBE WAKE

Ni wanamichezo wachache wenye mafanikio makubwa ambao wanaheshimu na kuwakubali wanamichezo wadogo hasa wanaotoka nchi zilizokuwa chini kiuchumi. Mchezaji wa timu ya Manchester City kutoka nchini Ivory Cost amewapongeza wachezaji wa Kenya kwa kuchukua Medali kwenye michuano ya Olimpic inayoendelea huko Beijing.
Pia kwenye post yake hiyo aliyoipost kupitia mtandao wake wa twitter ameipongeza Kenya kwa kupenda michezo na support yao.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment