News
Loading...

TAZAMA VIDEO YA RIPOTA NA CAMERAMAN WAKE WALIVYOPIGWA RISASI

Ripota wa kituo cha WDBJ7, Alison Parker, 24, na cameraman wake Adam Ward, 27 wamepigwa risasi na kuuawawakati wakiwa kazini wanafanya interview.
Pia imesemekana kuwa mtu aliyewapiga risasi ni Vester Lee Flanagan ambaye pia alikuwa ni mwajiriwa wa zamani wa kituo hiko cha Tv alifanya tukio hilo na kupost video hiyo yatukio la mauaji alilolifanya.
Lakini pia kituo hiko cha WDBJ7 kimesema kuwa mtu aliyekuwa anafanyiwa mahojiano na Alison Parker anaitwa Vick Gardner yeye alinusurika ufa kwenye tukio hilo lakini amepelekwa hospitali kwa uangalizi zaidi wa afya.
Tazama hapa chini video ya tukio zima lilivyotokea.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment