News
Loading...

NEW: YAMOTO BAND – CHEZA KWA MADOIDO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Kundi la Yamoto band kutoka hapa Tz wameachia video yao mpya ya wimbo wao wa “Cheza kwa Madoido” video hiyo imefanyika nchini Afrika kusini, chini ya Director maarufu Godfather.
Bonyeza hapa chini kutazama video hii:

Hivyo basi unaweza kutazama video hapo chini ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye blog yetu kwani bado tunaendelea kukujuza habari zaidi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment