Msanii wa mziki ws hip hop hapa Bongo Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatholiki ameachia wimbo wake mpya akionekana kurudia style yake ya mwanzo aliyoanza nayo kwa kuikosoa serikali, Wimbo huo mpya wa Roma unaitwa 'Viva Roma Viva' producer wa wimbo huo ni J-Ryder na umefanyika chini ya studio za Tongwe Record.
Chukua time yako kuusikiliza wimbo huo hapa chini:
0 comments :
Post a Comment