News
Loading...

VIJANA WA USWAZI WATIKISA MTAA MBAGALA


DSC_0690
 Ilikuwa vurugumechi kwa vijana ambao walikuwa wamechangishana vijisenti na kukodi muziki uliopigwa barabarani live kuanzia saa 6:00 usiku mpaka majogoo Mbagala, Kwakisauti Jijini Dar Tarehe 1/1/2015.

Staring hiyo ilishikiliwa na wanawake kwa kuongoza umati wa watu hao huku wakiwa wame puliza moto juu kwa kuupokea na kuukaribisha mwaka 2015. Hivyo ndivyo ilivyo kuwa, ingawa fujo kidogo zilijitokeza katika eneo hilo kiasi cha watu kupoteza simu zao, ila Mungu mkubwa hawakuwa Panya road walikuwa ni wao kwa wao.
DSC_0694

DSC_0697

DSC_0705

DSC_0707

DSC_0724

DSC_0728

DSC_0730
Share on Google Plus

About Super News

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment