Msanii wa kike kutoka Bongo Nay Lee na yeye ametoa remix ya wimbo wa Sophia ambao Original yake ulifanywa na Ben Pol.Kiukweli wimbo huu haujawavutia mashabiki wa mziki tu kwani hata wasanii pia wamevutiwa na wimbo huu na mpaka sasa umeshafanyiwa remix tatu.
Bonyeza hapo chini kuusikiliza wimbo huu
0 comments :
Post a Comment