News
Loading...

ALI KIBA HOI BAADA YA KUVAMIWA NA MAJAMBAZI NYUMBANI KWAKE

Taarifa zilizopo kwa sasa ni kuvamiwa kwa nyumba ya msanii wa Bongo fleva Ali Kiba iliyopo maeneo ya Kunduchi ambayo anaishi na mdogo wake Abdu Kiba.

Abdu Kiba, amesema yeye alikuwa Masaki, Ali akampigia simu kwamba kuna watu kama 15 hivi wamevamia nyumbani kwao.. waliovamia waliruka ukuta saa tisa usiku, wakavunja mlango wa sebuleni, wakakuta vijana wawili ambao wanaishi nao, wakawapiga na kuwalazimisha wawaoneshe chumba ambacho Ali yupo.. wale vijana wakajibu kwamba Ali hayupo, wakaulizia chumba chake wakaoneshwa chumba cha Abdu Kiba.
Wameingia chumbani wakamkosa Ali Kiba, wameiba vitu vingi vya sebuleni na chumbani pia, pamoja na pesa milioni 2 na nusu zilizokuwa chumbani kwa Abdu.
Askari walifika na kukagua, wakaondoka na kuahidi kwamba wanafanya upelelezi.
Wakati tukio lote linaendelea Ali alikuwa ndani kwenye chumba kingine, hawakuomuona.
IMG-20150502-WA0000
IMG-20150502-WA0001
IMG-20150502-WA0002
IMG-20150502-WA0003
IMG-20150502-WA0004
IMG-20150502-WA0005
IMG-20150502-WA0006
IMG-20150502-WA0007
IMG-20150502-WA0009
IMG-20150502-WA0014
IMG-20150502-WA0018
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment