News
Loading...

KILICHOKUWA KINASUBIRIWA KUTOKA KWA DIAMOND NA P-SQURE SASA KIPO TAYARI


Ile collabo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na watu wengi kuwasikia P-square kutoka Nigeria na Diamond Platinumz kutokea Tz wakifanya yao kwenye ngoma moja.

Diamond pamoja na P-square wameweza ku-share picha hii kwa pamoja huku Diamond akiandika maneno haya 'Tafadhali Mkiwa Tayari naomba mnambie niiachie.... DIAMOND ft P-SQUARE
( please lemmie know when you guys ready so that i can drop it... DIAMOND ft P-SQUARE)'.

Baada ya diamond kuandika hayo naye Peter wa P-Square ali-post picha hiyo na kuandika "My african people, you asked for it and it's coming to you soon" Paul hakutaka kupitwa na hilo na yeye akaandika "Hmmmmm ..........something is cooking."
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment