News
Loading...

KITABU CHA CHOZI LA SITTI KIMEZINDULIWA JANA......PICHA ZA SHEREHE YOTE ZIPO HAPA.

Aliyekuwa Miss Tanzania, Malkia Sitti Abass Mtemvu amezindua rasmi kitabu chake kinachoitwa Chozi la Sitti, Sitti foundation, na Tv show yake jana kwenye ukumbiwa Mlimani City,
Pia Malkia huyo amepanga kwenda kukiztangaza kitabu hicho kwenye nchi ya Ivory Cost.
Katika sherehe hizo zilihudhuriwa na wageni mbalimbali wa kutoka serikalini, marafiki pamoja na watu kibao maarufu hapa Tz.
Katika sherehe hizo zilipambwa na burudani ya muziki kutoka kwa Yamoto Band

            Mama Sitti akiwa kwenye meza moja na wageni waliohudhuria kwenye sherehe hizo

                            Jokate akiwa kwenye Red Carpet na wageni waliohudhuria shrehe za Sitti

                       Mzee Abass Mtemvu, Sitti wakiwa katika picha ya pamoja na Yamoto Band

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment