News
Loading...

SKALES KUTAMBULISHA ALBUM YAKE NCHINI NAIROBI

   
Rapa kutoka Nigeria Raoul John Njeng-Njeng aka Skales anayefahamika kwa wimbo mkubwa “Shake Body”ataitingishaNairobi, Kenyakwa kutambulisha album yake mpya nchini humo. Album inaitwa ‘Man of the Year’ album’. Show inafanyika June 6 mjini Nairobi.
Skales amefanya collabo na wasanii kamaBanky W., eLDee, Jeremiah Gyang na Knighthouse. Nyimbo zilizopo kwenye album hii ni pamoja na“Mukulu”, “Keresimesi”, “Komole”, “My Baby”, “Take Care of Me” na “Denge Pose”.
Skales sasa anarecord label yake ya OHK Music.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment