News
Loading...

TAZAMA PICHA ZA MASTAA WALIOHUDHURIA HARUSI YA TOM CLEVERLEY

Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley jana alifunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu Georgina Dorsett katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge.
 Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa soka akiwemo nahodha wa klabu ya Manchester United na England Wayne Rooney ambaye pia aliongozana na mkewe Coleen, Chris Smalling wa Man United, Danny Welbeck na wachezaji wengine, pia alikuwepo muimbaji wa band ya The Saturdays, Rochelle Humes. 

                  Wayne Rooney akiwa na Coleen kwenye harusi ya Tom Clevery
                        Tom Cleverley akiwa na mkewe Georgina Dorsett

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment