News
Loading...

BOBBI KRISTINA AFARIKI DUNIA

Mtoto wa marehemu Whitney Houston ambae alikua gwiji wa muziki wa R&B BOBBI KRISTINA, amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu tangu alipokutwa taaban kwenye bafu lake na pindi alipofikishwa hospitali na kukutwa na matatizo kwenye ubongo.
 Bobbi amekufa akiwa na umri wa miaka 22  huku akivutiwa kuwa mwigizaji na muimbaji mahiri  na mwenye ubora wa aina yake. Msemaji wa familia Kristen Foster amesema Bobbi amefariki akiwa amezungukwa na familia yake.... Bobbi ambaye alikuwa amepoteza fahamu tangu akutwe  ameanguka kwenye bafu lake mnamo tarhe 31january mwaka huu ...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment