News
Loading...

NEW: VICTORIA KIMANI – TWO OF DEM [OFFICIAL VIDEO]

Msanii wa kike nchini Kenya ambaye anafanya vizuri kwenye muziki wa burudani  maarufu kwa jina la Victoria Kimani aliyewahi kutamba na ngoma ya ‘Prokoto aliyowashirikisha mastaa kutoka bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz. Kimani ameachia video yake mpya ya wimbo wake wa 'Two of Dem'. Chukua time hii kuitazama hapa:

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment