News
Loading...

HATIMAYE ZARI NA DIAMOND PLATNUMZ WAPATA MTOTO


Ni furaha kubwa kwa sasa kwa familia ya mwanamuziki wa hapa Tz maarufu kwa jina la Diamond Planumz aka Dangote baada ya ku-share picha akimuonyesha mwanae, Mama yake pamoja na Zari ambae ni mzazi mwenzake,mtoto huyo amezaliwa  alfajir ya leo na tayari mtoto huyo kashapatiwa jina la Tiffah.
 Alicho kifanya Diamond Platnumz mara baada ya mtoto huyo kuzaliwa ameamua kumfungulia Acount ya Instagram leo na kuandika maneno haya  “My mom’s face it’s enough to Express how i feell😍… Welcome to the world @princess_tiffah 👼”. Na mpaka sasa account hiyo imepata Followers kibao tangu ifunguliwe masaa machache yaliyopiata.

Pia hiki ndicho alikipost Babu Tale baada ya Zarinah Hassan kujifungua.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment