News
Loading...

HUU NDIYO WIMBO WA VANESSA MDEE UNAOFUATA

Baada ya wimbo wake wa 'Nobody But Me' aliomshirikisha K.O kufanya vizuri ndani na nje ya Tzee sasa hivi mwanadada Vanessa Mdee aka Vee Money amepanga kuachia wimbo
wake mpya Jumatatu ijayo wimbo unaitwa 'Never Ever' na producer wa wimbo huo ni Nahreelkwenye studio za Industry.
Pia wimbo huo wa Vanessa ni miongoni mwa mwa wimbo wake ambao upo kwenye album yake ambayo amepanga kuitoa 'Money Mondays'
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment