News
Loading...

BAADA YA KILA MTU KUSEMA LAKE, HAYA NDIYO ALIYOSEMA MEEK MILL JUU YA NICK MINAJI

Rapper  Meek Mill amejibu swali ambalo watu wengi walikuwa wakijiuliza kama ni kweli
amemchumbia Nicki Minaj. 
 
Rapper huyo  mwenye miaka 28 amekanusha uvumi kuwa amemvisha pete ya uchumba 
girlfriend wake Nicki Minaj mwenye miaka 32, ulionea  baada ya Nicki kupost picha ya
mkono wake wa kushoto wenye pete ya almasi kwenye kidole chake cha chanda.
Kupitia mahojiano aliyofanyiwa na The Fader, Meek Mill amethibitisha kuwa
uhusiano wao ni wa kweli, lakini kwa sasa sio muda muafaka wa wao kufunga ndoa.
Aliongeza kuwa kwa sasa bado wanasomana tabia na mambo mengine. really time to get
married yet, We’re still learning
each other, feeling each other out.
Rapper huyo  ambaye ni mdogo kwa Minaj kwa miaka minne, amesema kuwa hata bibi
yake aliamini kuwa amemchumbia Minaj kwasababu hua anaamini kila anachokiona kwenye
runinga.
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment