News
Loading...

KUMBE HII NDIYO COLLABO AMBAYO DIAMOND PLATNUMZ ALIYOKUWA ANAIFICHA KIPINDI CHOTE!!...

 
Toka mwanzoni mwa wiki hii Diamond Platnumz na crew yake wamekuwa waki-tease vitu kwa
 mafumbo kuashiria kuna kitu kikubwa kinakuja.
 
Kupitia Instagram Diamond ameshare fomu inayoonesha kuwa ameituma video ya 
collabo yake na Mr. Flavour iitwayo Nana kwenye kituo cha Runinga cha 
kimataifa BET International. Katika fomu hiyo inaonesha kuwa video hiyo iliyoongozwa
 na Godfather inatarajiwa kutoa May 29, 2015. 
 
 
 Lakini pamoja na kutease fomu hiyo bado uongozi wake unasema kuwa Ijumaa hii ndio
wataweka wazi ni wimbo gani anaotaka kuachia, lakini ni collabo ya kimataifa.
Vitu vyote tutasema kwa wananchi wetu Ijumaa mashabiki wa Diamond
mashabiki wa WCB wasubirie mpaka Ijumaa tutaanza rasmi kusema kama ni wimbo ambao 
tuna release Diamond featuring Flavour au Featuring P-Square au msanii wa 
Marekani.
 Alisema Babu Tale kupitia Sammisago.com.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment