News
Loading...

HII NDIYO REKODI YA GERRARD NA LAMPARD.... NANI ZAIDI??

Steven Gerrardna Frank Lampard wamechezea mechi ya mwisho kwenye timu zao na kufungia magoli huku Lampard ameifungia timu yake bao kwenye ushindi walioupata wa magoli mawili ilipokuwa inacheza na Southamptom, Vile vile Gerrard ameipatia timu yake ya Liverpool bao la kufutia machozi baada ya kufungwa magoli 6-1 dhidi ya Stock City.
Viungo hao leo zilikuwa ni mechi zao za mwisho kwenye ligi ya Uingereza na wanahamia kuchezea ligi ya Marekani huku Gerrard akienda kuichezea timu ya La Galaxy na Lampard alishasaini na Newyork City tangu msimu uliopita akawa anachezea Man City kwa mkopo.

Baada ya kumalizika ligi ya Uingereza hii ndiyo rekodi ya Gerrard na Lampard:


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment