News
Loading...

NEW AUDIO: JUMA NATURE FT MSAGA SUMU ~ INANIUMA SANA (REMIX)

Juma Nature aka Kiroboto amefanya remix ya wimbo wake wa 'Inaniuma Sana' ambao ulifanya vizuri miaka ya nyuma na kujipatia show kibao ndani na nje ya nchi. Katika wimbo huo Nature amemshirikisha Msaga Sumu na producer aliyefanya remix hiyo ni Mazuu kutoka Studio ya Mazuu Record.

Bonyeza hapa chini kuusikiliza wimbo huu:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment