News
Loading...

HAYA NDIYO MAAMUZI YALIYOCHUKULIWA NA TEAM YA EATV BAADA YA PLANET BONGO KUFA

Baada ya stori kibao zilizothibitishwa na team nzima ya Eas Africa kupitia kupitia kipindi chake cha Planet Bongo kusema kuwa Jumamosi ya tarehe 30/05/2015 ndiyo itakuwa mwisho wa kipindi hicho kilichokuwa kinaongozwa na Abdallah Ambua na kufanya mashabiki wa kipindi hicho kutokuwa na raha baada ya taarifa hizo.
Hatimaye leo mkuu wa vipindi wa East Africa Radio Nasser Kingu amesema kuwa wameamua kuongeza muda kwa kipindi hicho ili kuzidi kukuza muziki wa kitanzania na kusema kuwa ndani ya muda huo ni nyimbo za kitanzania tu ndizo zitakuwa zikipata nafasi.


Siku ya leo katika kipindi hiki kilinoga baada ya baada ya kuudhuriwa na Dj John Dilinga, Prof Jay, Mwana Fa, Jay Mo, Enika, Mwasiti, huku Salama Jabir na Dj Kim ndiyo walikuwa wanakiongoza kipindi hicho kwa leo.
Mkuu wa vipindi wa East Africa Radio Nasser Kingu amesema kuwa wameamua kuongeza muda kwa kipindi hicho ili kuzidi kukuza muziki wa kitanzania na kusema kuwa ndani ya muda huo ni nyimbo za kitanzania tu ndizo zitakuwa zikipata nafasi. 
 TEAM #PlanetBongo sasa ni Dullah alimaarufu kama Mjukuu wa Ambua, Anna Peter pamoja na Kennedy The Remedy.

 Hii ndiyo timu mpya itakayokuwa inaendesha kipindi cha Planet Bongo

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment