Jana ilikuwa ni siku maalumu kwa msanii mkongwe Juma Kassim Nature aka Kibra alikuwa anatimiza miaka 16 kwenye mziki wa Bongo fleva, E fm na Nature wakamua kufanya bonge la Show kwenye ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala huku akisindikizwa na wasanii kadhha kama vile; Snurabaka Mama Majanga, Shetta aka Baba Kaira, Prof Jay aka Daddy, Msagasumu, Mabaga Fresh, Doro huku wasanii kutokakundi la Makomando wqkishindwa kupanda stejini kutokana na kuchelewa kufika ukumbini na kwenda nje ya ratiba hizo.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye show hiyo iliyohudhuriwa na mashabiki kibao wa mziki:
Mashabiki wakila burudani kutoka kwa NatureProf Jay akiwa anaingia kwenye Back stage
Swebe akifanya yake kama Mc
Msagasumu akiwapa burudani mashabiki wake
Shetta akionyesha yake
Dj Majizo na dj Skit wakifanya yao
Prof Jay akiwa na mdogo wake Don Koli
Dj Black na Dj X5
HK akiwachezesha madansa wa Snura
Juma Nature na Prof Jay
Snura naMadansa wao wakipagawisha mashabiki wake ndani ya Dar Live
Snura, HK na Madansa wao kwenye picha ya pamoja
Prof Jay akiwa na Dj Majizo wa Efm
Nature akiwa na Msagasumu kwenye Steji moja
0 comments :
Post a Comment