News
Loading...

ALBERT MANGWAIR MEMORIAL NIGHT, PICHA ZOTE HAPA


Ni miaka miwili sasa tangu Albert Mangwair afariki dunia huko nchini Africa Kusini, Mgwair ambaye alikuwa ni mkali wa freestyle hapa bongo alipata matatizo huko South Africa pamoja na rafiki yake M2 the P ambapo wote wawili walilazwa wakiwa mahututi lakini kwa bahati mbaya Ngwair alipoteza uhai na M2 the P ndiye aliyepona licha ya kuwa katika hali mbaya.
Jan kwenye ukumbi wa Maisha Club kupitia Chemba Squared na wadau kibao wa burudani walijitokeza na kuandaa Albert Mangweah Memorial Party party hiyo iliudhuriwa na wasanii kibao kama vile; Izo Buzness, Tox Star, Daz Baba, M2 the P, Dark Masta, Jordan & Mirror, nk

Hizi ni baadhi ya picha za kwenye Show hiyo:


                                                  Chid Benz akiwa kwenye Red Carpet


                                                 Jillah the Boy akiwa kwenye Red Carpet



                                                               M2 the P


                                          Baadhi ya mashabikiwaliojitokeza kwenye Show


                  Dark Masta akiwa kwenye steji akiwafurahisha mashabiki waliojitokeza




                   Daz Baba akiwakumbushia mashabiki nyimbo zake za zamani


Dark Masta akiwa pamoja na Jordan & Mirror

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment