News
Loading...

NEW VIDEO: IYANYA X DIAMOND ~ NAKUPENDA

Baada ya siku kadhaa Diamond Platnumz kuachia video ya wimbo wake mpya 'Nana' aliomshirikisha mr Flavour kutoka nchini Nigeria huku mastaa kadhaa wa mziki kutoka Africa wakionekana kwenye video hiyo mmoja wao alikuwa ni Iyanya ambaye ameshafanya collabo mbili na Diamond mpaka sasa.
Naye Iyanya ameachia video yake mpya ya wimbo Nakupenda ambao amemshirikisha Diamond Platnumz huku director wa video hiyo akiwa ni Patrick Elis.

Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment