News
Loading...

MUSIC NEW AUDIO | NAY WAMITEGO FT. DIAMOND PLATNUMZ – MAPENZI AU PESA

Nay Wamitegoameachia nyimbo yake mpya 'Mapenzi au Pesa' huku akimshirikisha Diamond Platnumz aka Dangote kwenye wimbo huo.

Hii ni mara yapili kwa wasanii hawa wawili kufanya collabo hiyo kabla ya hapo walishirikiana kufanya wimbo wa 'Mziki Gani' na kufanya vizuri huku nyimbo zote hizo zikifanywa na Producer Mr. T Touch kwenye studio za New Free Nation.


Bonyeza hapa kusikiliza wimbo huu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment