News
Loading...

SNURA KUACHIA KICHUPA CHA 'NIMWAGE NISIMWAGE'


 Mwanadada mkali wa stage ambaye kwa sasa anatamba na hit song yake ya 'Hawashi' featuring Ney wa Mitego, yupo mbioni kuachia kichupa cha moja kati ya ngoma zake ambayo imetamba sana kitaa baada ya kuvuja.


Ngoma hiyo inaitwa 'Nimwage nisimwage' na ilifanyika chini ya producer Abidady yule mkali aliyegonga 'Chekecha Cheketua' ya Ali Kiba n.k. Hii ngoma ilivuja akini kwa kuwa imeonekana kuwa na masabiki wengi kitaa na club kadhaa ndio maana ameamua kuiachia video ya ngoma hiyo.

"Huu wimbo ulivuja kwa bahati mbaya lakini cha ajabu kila tulipokanyaga kwa ajili ya show lazima uombwe hata kama haukuwa kwenye playlist yetu na nimepata comments nyingi kutoka kwa clubs' djs na Vdjs kuwa hii ngoma ni bora niifanyie video ndo maana nimeona ni bora hii ngoma niifanyie kichupa tu." - Snura.

Video ya wimbo huo imeongozwa na director 'EINXER' kutoka 'APEX PRODUCTION' yule aliyeongoza video ya Peter Msechu ft Amini iitwayo 'Nyota'.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment