News
Loading...

DIAMOND PLATNUMZ AZUA BALAA JIPYA NCHINI MAREKANI

Diamond Platnumz ambaye hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake wa Nana aliomshirikisha Mr Flavour kutoka nchini Nigeria huku wimbo huo ukiwa umetazamwa takribani mara milioni moja, lakini pia ameonekana kufanya vibaya kwenye tuzo za KTMA akipata tuzo mbili tu na kuzua mjadala kwenye mitandao na mashabiki kwa kusema kuwa kwasasa hana jipya.
Diamond ameonyesha picha zake na clip fupi ya video akiwa studio ya Universal Rec akimaanisha kuwa kunakitu kipo tayari.

Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment