News
Loading...

HUSTLE GANG YA T.I WADONDOSHA VIDEO MPYA.....ITAZAME HAPA

Hustle Gang Records na music group inayo simamiwa na T.I inajulikana kwa kuwa na wasanii wakali kama first lady wa kundi Iggy Azalea na watu wengine kama B.O.B., Shad Da God, Yung Booke na wengine wakali chini ya lebo hio ya muziki. Baada ya kumake headlines na Mediocre na Private Show aliomshirikisha mkali Chris Brown, round hii T.I kaamua kuwaweka wakali wake wa kuchana katika collabo moja ndani ya hii video mpya iitwayo I dont F***k with you.

Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment