News
Loading...

WATU WASIO JULIKANA WAMEIFUNGA ACCOUNT YA INSTAGRAM YA 'NISHER'

06-insta-2Akaunti ya Instagram ya muongozaji wa video, Nisher imefungwa baada ya kuwa ‘hacked’ na watu wasiojulikana Baada ya watu hao wanaojiita 'fakewatchbusta' kuhack akaunti yake walipost picha yake akiwa amevaa saa za thamani na kuweka maandishi yenye rangi nyekundu
nisher-575x1024
 
Wakaanza kubadilisha usernames na kupost picha chafu so mi nilichofanya ikabidi nitoe report Instagram kuwa nimekuwa hacked wakaifunga.”
Hata hivyo Nisher amesema saa zake zote ni halisi.
 Zote ni real,” amesema Nisher.
 Japo kwa mara nyingine imebidi nimpigie agent wangu nimuulize kuwa inakuaje naambiwa hii saa ni feki! Yeye mwenyewe ameshangaa sana so anacheki na duka aliponunulia huko UK,” ameongeza.
 Kitaeleweka tu. Japo sishangai chochote maana kama wameweza kumwita Rick Ross na Floyd Mayweather FAKE na wao ni Multi-Millionaires, sembuse mimi wakuzikusanya kwa msimu.”
 watch-1024x997
 Simu halisi za Nisher zikiwa kwenye boksi yake
 Kuhusu bei ya saa zake hizo, Nisher ameiambia kuwa hawezi kuitaja kwa sababu za kiusalama.
 “Siwezi kutaja hewani but receipts zipo so kama mtu anataka kujua how much I bought it karibu home s crazy! Nashindwa kutaja kwasababu ya security reasons, sio kwaajili ya hofu.”
 Hata hivyo Nisher anahisi kuna watu wengi wanaomchukia hasa wanaume wenzake.
 Nimejifunza kuwa naonewa wivu sana na wanaume wenzangu,” amesema muongozaji huyo. Sijui kwanini, sababu aliyenitag kwenye hiyo site ni mtangazaji wa radio na TV, simtaji jina cuz not even worth it! Ila team yangu imeshamfuma na alipoona account yangu inashambuliwa aliwatag wenzake na kuwaambia  So message kwake nampa pole kwa kusosa kazi za kufanya.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment