News
Loading...

MAKOMANDO FT M-RAP IS COMING!

 Kundi moja la wasanii wa muziki hapa Tz maarufu kwa jina la ‘Makomando ambao wanafanya vizuri kwenye muziki wa Bongo fleva, kwa sasa wapo katika mchakato wa kuandaa ngoma mpya katika studio ya Uprise Music chini ya mikono ya Producer Dupythough kwamba ngoma hiyo bado haijajulikana jina lakini ameshirikishwa rapper M Rap stay tuned kwa habari njema.
                                                 M Rap
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment