News
Loading...

NEW: SHIWONDER – GANDA LANDIZI (OFFICIAL MUSIC)


Baada ya zile fununu za kuachana kwa wapenzi ambao wamedumu kwa muda mrefu Shilole & Nuh Mziwanda, maarufu kwa jin ala Shiwondersasa haya ni matokeo yake, hii ni ngoma yao mpya inaitwa Ganda la ndizi imekamilika katika studio ya ‘Free nation kwenye Mikono ya Producer Mr T- Touch. chukua time hii kuisikiliza hapa.

                   Bonyeza hapa chini kusikiliza wimbo huu:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment