News
Loading...

ASIA IDAROUS ATIKISA NCHINI MAREKANI


Mama wa mitindo nchini Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous ambaye yupo kwenye ziara yake nchini Marekan,amefanikiwa kupata shavu la kufanya Fashion show ambayo huwa anaifanya hata akiwa hapa Home Tz maarufu kama‘Khanga Party’ Asia anategemea kufanya show hiyo Jumamosi ya Tarehe 29, August  2015 ndani ya Durham North carolina huko nchini Marekani kwa kuonesha mavazi yake ya Khanga nchini humo.
“Nilikuja huku Marekani kwa ajili ya ziara zangu lakini kabla ya kugeuka Tz nitakuwa na Fashion show ya ‘Khanga Party’itafanyika Jumamosi ya Tarehe 29, August, 2015 Durham North carolina USA nitaonesha vazi la Khangaalisema Asia


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment