News
Loading...

MAYWEATHER AZUA BALAA JIPYA BAADA YAKUONYESHA NDINGA YAKE MPYA


Kwenye picha ni gari ambalo inasemekana kuwa limenunuliwa na Bondia huyo ambaye jina lake la utani ni ‘Money Man’ alipost picha kwenye Instagram akiwa juu ya gari aina ya aina ya Koenigsegg CCXR Trevita. Myweather amepost picha hiyo na kuandika ujumbe wa maneno haya:-
“My new 4.8 Million dollar car. $4,800,000.00 Koenigsegg CCXR Trevita supercar,” ameandika. “KOENIGSEGG Is An ULTRA Boutique Automobile Manufacturer For The Super Rich. KOENIGSEGG made only 2 TREVITA’S for the World, and this is No.2 of 2. In addition it is the only USA Spec TREVITA Built in the World. The Origin of the car is Sweden. The word TREVITA means “3 Whites”. It is beyond a Super Car, and is classified as a ” Hyper Car”


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment