News
Loading...

DANCER WA DIAMONDI AONYESHA JEURI YA PESA

Kweli mziki wa bongo fleva umekuwa chanzo kikubwa cha vijana kupata ajira zaidi pamoja kuweza kuendesha maisha yao bila kutegemea pamoja na kuliongezea taifa mapato. Dancer wa Diamond Platnumz aka Dangote ameonyesha kuwa mziki unalipa siyo kwa wasanii peke yao hata kwa dancers pia baada ya kununua ndinga mpya aina ya GASSO.
Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao wana mafaniko sana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki, Mafanikio ya Diamond yameweza kunufaisha pia Dancers wake.
Diamond Platnumz kupitia mtandao wa Instagram ameandika “Huwa nafarijika na kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ninapoona vijana wenzangu ninaofanya nao kazi licha ya kidogo tukipatacho ila wanakuwa na akili ya kukitumia kimaendeleo… Mwenyezi Mungu akuongeze akili na maarifa ufanye mengi mazuri zaidi ya hili @dumyutamu @dumyutamu @dumyutamu“.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment