News
Loading...

DIAMOND PLATNUMZ AITABIRIA COLLABO YAKE NA NE-YO


Collabo inayosubiriwa kwa hamu Africa kutoka kwa Diamond Platnumz a.k.a Dangote na msanii wa R&B Ne-Yo kutoka Marekani inaonekana kuwa tayari.
Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram amemshukuru Ne-Yo baada ya kumaliza kurekodi wimbo huo aka-post picha akiwa na Ne-Yo studio wanarekodi, pia kwenye picha hiyo anaonekana producer Sheddy Clever ambaye atakuwa amehusika kupika kazi hiyo.
“Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!! @Diamondplatnumz ft @neyo ….. Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow @Jullianl #AfricaTotheWorld”- alipost Diamond

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment