News
Loading...

NEW: SAUTI SOL – SHAKE YO BAM BAM (OFFICIAL MUSIC VIDEO)


Kundi la wasanii wanaofanya vizuri kwenye Tasnia ya Muziki  aina ya Afro Pop Band kutoka nchini kenya maarufu kwa Jina la Sauti Sol wameachia video ya wimbo wao mpya inayoitwa ‘Shake Yo Bam Bam wimbo huoambao umetoka kwenye up coming Album yao ya ‘Live and Die’. Video hiyo imefanyika nchini Nairobi chini ya Director mkongwe kutoka Nigeria Clarence Peters.

Bonyeza hapa chini kuangalia video hii:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment