News
Loading...

PROF JAY ATANGAZA VITA RASMI KWA WAPINZANI JIMBO LA MIKUMI

Msanii mkongwe wa mziki wa Hip Hop hapa Bongo, Joseph Haule a.k.a Professor Jay amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.
Hii imekuja baada ya kushinda kwa kishindo kwenye kura za maoni zilizokuwa zinafanyika ndani ya chama ili kumpata mgombea mmoja atakaye wakilisha Jimbo.
Haya ni maneno ambayo ameyaandika Prof Jay kwenye account yake ya Instagram..'Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE – Professor Jay
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment